Mr. Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa Tanzania yenye makazi yake makuu mjini Dar es salaam, kampuni hii inajishughulisha na uzalishaji wa bidhaa tofauti tofauti kama T-shirts, sabuni za mikono na masinki, peanut butter, tomato, chill sauce, na bidhaa nyingine nyingi zaidi....
Mr. Tanzania's HAND WASH
Mr. Tanzania's PEANUT BUTTERS
Mr. Tanzania's PEANUT BUTTERS
Mr. Tanzania's CHILLI SAUCE
Mr. Tanzania's MANGO PEACO
Hizi ni baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na Mr. Tanzania Co.ltd




